Diamond,shetta na dully jana walitoa burudani katika ufunguzi wa ukumbi mpya uitwao msasani cityuliopo maeneo ya masasani jijini dar es salam na hizi ni baadhi ya picha katika show hiyo yajana
with my Brother from another mother the only Legendary Dully sykes |
BackStage Qboy Msafii & Dully |
Sheeeeee sheeeeetaaa the don King Mswatiii |
Wacha weeeh watu wakifurahia muziki mtamu na mzuri....!! |
Kikosi cha Wasafiiii....! |
WASAFIII.....!! |
Kwenye show viuno mbele mbele....!! |
Jeshi zima la wasafi stejini...taratibu |
Mizuka sio kwa diamond tu hadi kwa Dj,Angalia sasa hapo akifanya yake bhana DJ Rommy Jones on the One & two hatari kabisa...!! |
Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
Twende sasa hapo....''Go Go Go kichwa Go kichwa'' |
Qboy Msafiii & DJ Rommy Jones on set akiharibiki kitu hapo....!! |
Jumba ili la Biashara linavyoonekana kwa mwonekano wa Mbele hakika kwa ujumla inafurahisha kuona maendeleo yakifanyika nchini mwetu ni jambo la kheri na Busara..! |
balaaaa sana hapa |
Na ubongo unapata mawazo...!! |
Mizuka imepandaaa |
furaha ya burudaniii |
Ajajajaja Prince Brothermen Dully akipagawisha stejini......kumbe muda upo bado basi sawa'' |
Ukikata utamu....utamu..... utamu.....utamu hanhaiii....!! |
Pisto yangu naikoki mama....unaanza kuishika shika....... alafu....?? Malizia mwenyewe...!! |
Hapo sasa.....Utamu utamu ndo ngoma kwenye jukwaa sasa....!! |
Baby DE'Anthon huh Handsome.....''UTAMU UTAMU'' Dully katika...katika....Dully katika....katika!! |
shangwe za kutosha |
Usalama ulimarishwa kila kona |
Post a Comment