Ngoma inasifia mkoa wa kihistoria wa Tabora-Tanzania. Ameandika Historia ya msanii wa kwanza wa Afrika mashariki na kati kuvunja rekodi hii kwa wimbo huu wa wa RAGE.

Ngoma inaitwa "LIVINGSTONE CITY" na msanii mahiri wa Uganda ZIGGY DEE aliyetamba na kibao cha ENO MIC. Ameifanyia katika studio ya KAPESTONE iliyopo Tabora, ngoma hii imefanywa chini ya Ma-PRODUCER EiZeR BiTz na BK (Baraka Mavinanda) 

Post a Comment

 
Top