Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipyaunaojulikana kama bongo fleva, Khaleed Mohamed a..k.a  'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye pichana hapo juu 

Habari zaidi  zinasema kuwa ugomvi ulianza maisha club jana usiku baada ya TID kumkuta Mpenzi wake akiongea na mwanaume mwingine bila ruhusa ya T I D amabaye ni mpenzi wake  ndio T I D akamvuta mpenzi wake na kumpiga makofi.Bila kijali mapenzi yao binti huyo alikwenda moja kwa moja kituo cha polisi Osterbay na kutoa taarifa ya kupigwa na Tid.


Tid ametoka mida ya saa tano asubuhi kwa Dhamana na ataripoti tena polici jumatatu.

Chanzo Sammisago

Post a Comment

 
Top