Roy-Ogolla



Blogger maarafu kutoka kenya Kohadha Roy Ogolla,ambaye alitoa picha za uchi wanasiasa maarafu nchini kenya, Mike Sonko(senator) pamoja na  Rachel Shebesh (women representative)  amefariki dunia.
Aidha mjomba wake alithibitisha kutokea kwa Kifo chake siku ya jumapili jioni hii ni moja katika ya kaulii yake

"Ogolla died after being involved in a car accident near Kitengela when the car he was travelling in rolled several times and he was thrown out of the window.
He was leaving a function at Maasai Lodge and was said to be the driver of the Prado that they were travelling in.
He was rushed to Kenyatta National Hospital but died while receiving medical treatment"


Post a Comment

 
Top