HII NDIO NDEGE ILIYOPATA AJALI HUKO JOHANNESBURG JUMAPILI HII... A+ A- Print Email Ndege hiyo aina Boeing 747 jet ambayo ni mali ya kampuni ya British Airways, siku ya jumapili Dec. 22nd iligonga nyumba kwa bawa lake la upande wa kulia katika nyumba moja iliyoko karibu na Airport nchini Johannesburg, South Africa. (Pic above) 25 Dec 2013
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.