Picha ya Justin Bieber akiwa na Will Smith ndiyo picha iliyopata


Mwimbaji mwenye asili kutoka nchini Canada, Justin Bieber ameweka rekodi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambao ni maarufu kwa kuweka picha, baada ya picha yake akiwa na mwanamziki mkongongwe na pia mcheza filamu Will Smith kuwa ndio picha iliyopata Likes nyingi zaidi  kwa mwaka huu wa 2013.Ambapo picha hiyo ilisindikizwa na maneno  “Me and uncle Will”.

CEO wa mtandao huo wa kijamii Instagram, Kelvin Systrom alitangaza jana (December 13) katika show ya ‘Today’ kuwa picha ya iliyowekwa kwenye mtandao na Bieber miezi minne iliyopita imepata ‘Likes’ zaidi ya 1,496,070 na hivyo kuwa picha ambayo imepata Likes nyingi zaidi mwaka huu.Aliongeza kuwa kwa siku mtandao wa instagram picha zaidi ya million 55 huwekwa....

Post a Comment

 
Top