MASWALI 10 Ni Interviews ambazo watu maarufu kama wasanii, waiigizaji na wengine wengi, wanahojiwa exclusively na Presenter wa Radio CG FM 89.5 - Tabora, Ibrahim Haruna. Maswali hayo pia hutokana na kile mashabiki watauliza kupitia FACEBOOK PAGE inayoitwa IBRHYMES-THEDYNAMITE, kwa sasa kipindi tayari kimeanza kurushwa redioni na pia utaendelea kukipata mitandaoni.

Episode ya kwanza imefanywa na Angle Classic [mshindi wa Serengeti Super Nyota Kigoma] ya pili na Deey Classic - Producer, Episode ya 3 imefanywa na Dyna Nyange a.k.a Mkali wao huku Episode ya 4 ni Dudubaya a.k.a Mamba, kisha hii ya tano imefanywa na mkali C Pwaa. MSIKILIZE HAPA CHINI..

Post a Comment

 
Top