Kupitia mtandao wa Twitter,mapacha wawili wanaosumbua kwenye anga la muziki P Square wamefunguka kuhusiana na tetesi za wao kugombana kit kilichohatarisha muziki wao.
 <<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>>

P square wame-tweet kuwa wako imara kuliko awali,kitu kilichoonyesha hamna mgogoro kati yao na kama ulikuwepo basi ushaisha..ni habari njema hizi kwa mashabiki wao.

Post a Comment

 
Top