Dk. Cheni baada ya kulazwa kutokana na kuumwa ugonjwa wa dengue kuna baadhi wamezusha kuwa amefariki...ila baada ya uchunguzi wetu tumebaini watu wamechanganya habari za Doctor bingwa wa magonjwa ya akili ambaye nae ndio amefariki kwa ugonjwa dengue...baada ya taarifa hizo za uzushi lulu aamua kufunguka kama ifuatavyo:

Jamaani kuna mambo ya kuzushiana lakini sio KIFO,kuna habari zimezushwa kwamba @drchenitz Cheni amefariki....ni habari za uongo jmn....yuko salama kabisa na juzi ameruhusiwa kutoka hospital na anaendelea vzr...Tunajua kufa ni wajibu lkn mpk Mungu mwenyewe apende...!!!!Pole baba angu"

Post a Comment

 
Top