BRAND NEW VIDEO: NITASUBIRI -JUX A+ A- Print Email Msanii mwenye Swag na muonekano wa Trey Song kuanzia sura, mwili mpaka tattoo, Jux , ameachia video ya wimbo wake "Nitasubiri" ulio rikodiwa nchini China. Baada ya kuuzinduwa Billcanas wiki kadhaa zilizopita, pata nafasi ya kuutizama hapa
Post a Comment