Wapenzi
wanaotoka kiwanda cha muziki Tanzania Nuh Mziwanda na Shilole leo
walikua kwenye kipindi cha Leo tena ambapo walikua kama wageni kwenye
kipengele cha Hekaheka,sasa yameibuka mengi ambayo mengine hatuyafahamu
kuhusu uhusiano wao.
88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment