Jamaa mmoja kutoka kule nchini kenya anasakwa na polisi huko Migori kuhusiana na mauaji ya mkewe baada ya mzozo kuhusu mabati.Jamaa huyo anadaiwa kumkata kichwa mkewe ambaye alikuwa ni mja mzito kiksa kiwa ni baada ya mkewe kumkataza kuyauza mabati hayo.Jamaa huyo alitoweka baada ya kisa hicho na hajulikani alipo kwenda.
MUME ATUHUMIWA KUMUA MKEWE KISA KIKIWA NI MZOZO WA KUUZA BATI TAARIFA KAMILI IKO HAPA.
Jamaa mmoja kutoka kule nchini kenya anasakwa na polisi huko Migori kuhusiana na mauaji ya mkewe baada ya mzozo kuhusu mabati.Jamaa huyo anadaiwa kumkata kichwa mkewe ambaye alikuwa ni mja mzito kiksa kiwa ni baada ya mkewe kumkataza kuyauza mabati hayo.Jamaa huyo alitoweka baada ya kisa hicho na hajulikani alipo kwenda.
duh unyama gan huo mabati
ReplyDelete