lady jay dee ni msanii mkongwe sana na mwenye maendeleo
makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii
leo , mziki umeweza kumpatia mafanikio makubwa ikiwemo kupata tuzo
kibao kimataifa na kimataifa, mbali na hilo pia jay dee anamiliki band
inayoitwa machozi bendi, naa pia mgahawa wa kisasa unaoitwa nyumbani
lounge , hii leo tunkuletea exclusive picha ya nyumba ya kifahari
anakokaa mwanadada huyo , picha zote ziko hapa shuka nazo
Post a Comment