HP 500B MT Desktop PC for sale
SPECIFICATIONS
- Processor: Intel Core 2 Duo (3.0Ghz, 3MB)
- RAM: 2GB
- Hard Disk: 320GB
- Monitor: Dell 19″ HD Monitor
- DVD Drive: DVD±RW (±R DL) yenye uwezo wa ku-print CD
- Ina wirekess keyboard and mouse
- Ina uwezo wa ku-connect internet kwa kutumia WiFi.
- Operating System: Windows 7 Ultimate
Computer hii imetumika kwa muda wa miezi 6 tu hivyo bado ni mpya kabisa. Ukinunua computer hii unapata antivirus ya Kaspersky Internet Security 2014 yenye license ya mwaka mmoja bureee!!!
Post a Comment