http://www.kishymba.com/



Model maarufu kutoka kenya asiyeshiwa na vioja katika mitandao ya kijamii Vera Sidika ameendelea kumakeheadlines sana baada ya kutumia pesa nyingi katika kutengeneza sura yake na pia hata maziwa yake kumbe sio hivyo tu,sasa kupitia mtandao wa kijamii wa instagram ameweka picha ya nyumba anayomiliki ikiwa na vitu vyenye thamani ya juu na kuandika hivi kupitia Instagram  

My love for interior Design and pop of color!!! Art is talent and I’m currently taking interior design as a side hustle. Oh yes! Money is never enough. I’m just a grand hustler!!! Did my own home and it got me 5 interior decor offers. Thank you Lord
Na hii ndio picha ya nyumba yake kwa ndani 

http://www.kishymba.com/

Post a Comment

 
Top