Anajulikana kwa jina la Nick Mutuma ambaye ni msanii asiyeishiwa na vituko kutoka kenya ambaye inasemekana kuwa anadate na Msanii Jokate Mwagelo Kutoka Tanzania baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani ajulikanye kwa jina la Bridgette ,kupitia Instagram Nick alipost picha hiyo akiwa na Jokate huku wakionyesha kuwa na furaha kuwa pamoja
02 Aug 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top