Rais wa Jmauhuri ya muungano ya Tanzania Mh Jakaya Kikwete akikabidhi kombe kwa mchezaji wa Real Madriad Legends baada ya kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Tanzania 11 katika mchezo maalum wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam


 


 





 



 




 








 


 





Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.



 

Picha zingine za matukio ya kilichojiri jana ndani ya uwanja wa Taifa Dar es salaam ziko hapa  BONYEZA HAPA

Post a Comment

 
Top