Vibe Weekly imeripoti kuwa msanii Avril kwa sasa anatesa na gari mpya aliyonunuliwa na mchumba wake. Avril amekuwa akiweka picha za mwanaume huyo kwenye instagram yake zikiambatana na jumbe za mapenzi na kuridhika. Mchumba wa Avril ni mfanya biashara kutoka Afrika Kusini na inasemekana wanafikiria swala la kufunga ndoa.


Gari alilonunuliwa Avril ni Classy Red Mercedes Benz.



Post a Comment

 
Top