
Siku ya jana tarehe 2 Agosti imeingia kumbukumbu mpya kwenye maisha ya msanii Msanii Emmanuel Myamba ambaye amefunga ndoa na mke wake Praxceda Ndabigeze katika kanisa moja jijini Dar es salaam na kufutiwa na tafrija fupi na baadhi ya picha za matukio ziko hapa chini









Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.