Msanii Stella Mwangi kutoka kenya ametoa single yake mpya aliyoipa jina la Bouncer ræva ambayo ni neo kutoka kule nchini Norway ambalo maana yake ni ‘Bouncer Ass’ kama ukitumia google translate,nyimbo hiyo ambayo inamakeheadlines sana kwenye mitandao mingi ya Norway,ameachia video hii ikiwa na Tweerking style bila ya movement za watu kwenye video kama ilivyozoeleka itazama hapa...
Stella Mwangi Kutoka Kenya Aachia Video Ya Akitikisa Makalio Yake Iko Hapa.

Post a Comment