Msanii Tiwa Savage kutoka kule nchini Nigeria ambaye anamake headlines kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuwepo na sintofamu kati yake na aliyekuwa mpenzi wake aliyejulikana kwa jina Tee Billz,watu wa karibu na msanii huyo wameuambia mtandao mmoja wa nchini Nigeria kuwa Tiwa ameoneka kuwa mwenyewe muda mwingi na pia kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram aliandika statue iliyoashiria kuwa kuna tofauti kubwa kati yake na Tee Billz

Aliandika hivi na kupost picha hii 

ttt
Tiwa Savage dumped  411vibes

Post a Comment

 
Top