Mpenzi wa msakata kabumbu Naymer anayejulikanakwa jina la Soraja Vucelic mwemye asili ya kibrazil baada ya kuwa kwenye mahusiano siku mingi huku wakifanya mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii kama skype Instagram na hata facebook wako pamoja sasa hivi,mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambaye mpenzi wake kwa sasa ameingia kwenye headlines baada ya kuachia picha zake akiwa beach na mavazi yanayojulikana kwa kama bikini kama ilivyozoeleka picha zake hizi hapa chini
Soraja


Kutokana na maadili yetu tumeshindwa kuweka picha hizo bonyeza hapa kuona picha zaidi

Post a Comment

 
Top