Mwanaume mmoja wa China amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumuomba uchumba mpenzi wake kwa mkwara wa kununua iPhone 6, 99 zenye thamani ya £55,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 149.
1415702552208_wps_8_Man_spends_50_000_on_iPho
Hata hivyo pamoja na kupanga maboksi hayo 99 ya simu hizo kwenye umbo la kopa, mpenzi wake alikataa ombi lake.
1415702560597_wps_9_Man_spends_50_000_on_iPho
Picha za tukio hilo zimesambaa kwenye mtandao wa Weibo wa China. Aliamua kualika washkaji zake kushuhudia tukio ambalo liligeuka kuwa la aibu kwake. Inasemekana kuwa sasa hivi jamaa anahaha kutafuta wateja kuuza simu zake kwa bei ya hasara.
1415702567358_wps_10_Man_spends_50_000_on_iPho
By Daily Mail
149,325,000

Post a Comment

 
Top