
Kipindi cha nyuma kuna baadhi ya picha za wasanii wawili yaani Ommy Dimpoz pamoja na Jokate Mwagelo zikiwanyesha wakiwa kwenye mavazi ya ajabu na watu wakasema kuwa hiyo ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa msanii Ommy Dimpoz kuja Dar kutokea kwao Kigoma na alipokelewa na Jokate Mwagelo lakini kumbe sivyo ilivyokuwa inathaniwa ilikuwa ni remix ya nyimbo Tupogo leo hii ndio itoka unawezakuona hapa kwa mara ya kwanza kabisa
Kama kifaa chako hakina uwezo basi bonyeza hapa..
Post a Comment