Acheni Mombosa iitwe jiji la maraha najua huwezi kuamini lakin ukiwa na  Sh100,000 ya kikenya sawa na Million 2 ya kitanzania unaweza kuenjoy kupaki meli ya kisasa kabisa inayomilikiwa na kampuni ya  Marhaba Travels ambapo ndani ya kiasi hicho unaingia wew pamoja na watoto wako wawili chini hapa ni baadhi ya picha za meli hiyo 




























Post a Comment

 
Top