wema sepetu



Super star Wema Sepetu ambaye ndie queen wa filamu za kibongo almarufu kama Bongo movie wiki hii ametoa kauli ambayo ni tata kidodo na iliyowaacha watu wengi kwenye hali ya mshangao,ni kuhusu yeye kutoka kuzaa habari ya chini ya kapeti zinadai kuwa hana uwezo wa kuzaa ambako kwa sasa kila mara akitoa post baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimwambia yeye azae na baada ya yeye kuona ni kero alipost picha yake na kuandika kama ifuatavyo


Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I dont… Ndo mungu alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina … Im done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa…

Post a Comment

 
Top