Instagram kwa sasa ndio habari ya mjini kila tory zote kubwa ni tokeaga huko, baada ya lulu na Wema Sepetu kuingia sana kwenye headlines na na mshindi wa BBA 2014 Idris Sultan sasa ni zamu ya Feza Kessy ambapo Idris amefunguka ya moyoni kwa Mrembo Feza Kessy unaweza kuisoma hapo chini 


The connection we had in the house from the 1st time we saw each other is plain clear whatever happened you and i were bloody brother and sister from a lost family. You gave me strength and now am ready to give it back whenever you need me i will be there. @fezakessy

Na kupost Picha hii hapa chini


Feza kessy na Idris sultan

Post a Comment

 
Top