Staa Bebe Cool kutoka Uganda amefanya kitendo cha aibu akiwa steji na shabiki wake ambapo kwa mujibu wa repoter wa website wa Uganda walianza kucheza vizuri ila mwishowe ikawa ni balaa baada ya shabiki wake kulala kwenye stage na kuruhusu Bebe Cool kulalia kwa juu kama wako kitandani ushahidi wa picha uko hapa chini
Bebe Cool Kutoka Uganda Afanya Kitendo cha Aibu Stejini na Shabiki wake.

Post a Comment