mwana fa

Miaka ya 2010 kama ulikuwa unamfuatilia msanii Mwana Fa utakuwa ulikuwa unajua alikuwa akisoma nchi za nje ambapo alikwenda kuchukua elimu ya juu huko, leo katika pita pita zangu kwenye page za habari miaka hiyo nikakutana na picha ya gari alilowahi kumiliki msanii huyo ambalo kwa mahesabu ya haraka haraka ni million 90, kuna watu wanapesa lakin hawapendi kujionesha sasa kama mwaka 2010 anamiliki hilo range mwaka huu anamiliki lipi kweli picha mbili ziko hapa chini

gari la mwana fa



gari la mwana fa
15 Dec 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top