Story za Rihanna kuwa ni mjamzito toka mwezi huu wa kumi na mbili umeanza umekuwa mkubwa lakin lakin mtandao wa MediaTakeOut unadhibitisha kwa Rihanna ni mjamzito, mtandao huo umefanikiwa kupata picha kutoka Hospital ambapo Riri alienda kupima mimba
Kwa mujibu wa mtoa taarifa hizi mimba ya Rihanna ina wiki 9 picha hapo chini ni sonography kifaa kitumikacho kuonyesha picha ya mtoto akicheza tumboni
Post a Comment