Kwa wale wasiomjua huyu jamaa anaitwa Dan Bilzerian ambaye ni millionaire malaya sana anapenda sana wanawake na anawapata hasa, ana zaidi ya Followers million 5 ambao wanavutiwa na maisha yake akionyesha baadhi ya matukio yanayotokea kwenye maisha yake kila siku ikiwa ni pamoja na kuonyesha mali zake magari,ndege binafsi maarufu kama private jet na pia silaha kama bastola.Unaambiwa kila mahali alipo yeye huwa hapa kosi wasichana wawili na kila siku anabadilisha

Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa na warembo hao
















 





 


 


 


 


 



 


 


Huyu ni malaya Extraodinary

Post a Comment

 
Top