lil wyne






Rapper Lil Wayne ameiga rasmi label yake ya mziki YCMB ambayo amefanya nayo kazi kwa zaidi ya miaka kumi na tano toka akiwa katika lile kundi la watoto yatima ndahani kama utakuwa shabiki wake utakuwa unajua kuhusu story ya Lil Wyne toka akiwa mdogo mpaka sasa alipofikia ,Mmiliki wa label hiyo rapper Birdman pamoja na kampuni yake ya company Cash Money waligombana na rapper huyo ndipo Lil Wyne akaamua kusepa kwenye label hiyo na malumbambo yakahamia kwenye mitandao ya kijamii
Rapper Lil Wayne aligombana label hiyo ya  Cash Money baada ya kuachia album zote zilizokuwa store na ilizinduliwa nyumbani kwa Young Money bila ya makubaliano ya Lil Wyne na mmiliki wa label hiyo na hizi ni badhi ya tweets za lil wyne kutoka twitter

lil wyne on twitter



Baada ya Rapper Lil Wyne Kusepa YMCMB  Pusha T alimshauri hiki rapper Lil Wyne
  

Post a Comment

 
Top