Nchini Kenya wanawake pamoja na wasichana ambao hufanya biashara ya ngono ama kujiuza kwa lugha rahisi limefanya maandamano kuadhimisha siku ya makahaba duniani jana December 17, ikiwa na lengo la kukomesha dhuluma dhidi yao.
Unaambiwa wanawake hao waliandamana mpaka ofisi ya Jaji Mkuu Willy Mutunga wakitaka wakishinikiza serikali kuitambua biashara yao na kuifanya iwe halali na walipe kodi kama biashara zingine zinavyofanya katika hatua ya kuingizia mapato serikali yao
Kutoka kitua cha television cha K24 walioripoti story hii wameweka na video kwenye channel yao ya youtube iko hapa kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa
Post a Comment