My Baby Turned Into Python, Tried To Swallow Me – Mother Who Killed Daughter




Mwanamke mwenye miaka 27 ambaye jina lake limefichwa kutokana na sababu za kisheria amefikishwa mahakamani nchini Nigeria baada ya Kuumua mtoto wake wa kumzaa kabisa ambaye alikuwa na umri wa miezi mitano tu kwa madai ya kwamba alibadilika na kuwa nyoka aina ya python kwa lugha ya kiingereza na kujaribu kummeza lakin zoezi ilo lilishindikana.

Baada ya mwanamke huyo kuona mtoto wake anabadilika na kuwa nyoka ndipo alipoamua kumtpa chooni na kufarika dunia, baada ya polisi kufanya mahojiani na mama huyo alisema wakati akiwa na mtoto wake siku moja alisikia sauti ikisema kwamba  “mrudishe mtoto kwenye maji alipotokea”

Mahakama iliamua kuwa mama huyo aende hospital kufanyiwa vipimo ili kuhakisha kama sio mgonjwa wa akili kuhakisha kama sio mgonjwa wa akili, vitendo hivi nchini Nigeria vimekuwa vingi mno na vingi huwa huwa vinatokea na huwa vikuhusiana na mambo ya kishirikina.

Post a Comment

 
Top