Mwanaume mmoja mwenye miaka 40 raia wa zimbabwaambaye aliwahi kuingia kwenye Headlines baada ya kukaa miaka yote bila ya kufanya mapenzi akijiita bikra pamoja na mpenzi wake  mwenye miaka 29 ambaye nae ni bikra kwa mujibu wao wenyewe wamefunga ndoa week hi jijini harare

Mwanaume huyo ambaye jina lake halisi nin Joseph Masikati na mkewe ni Gloria Mangwanya ambapo walivishana pete ya uchumba na kwenye maporomoko ya maji jijini harare ambapo sherere ilihudhuruwa na wazazi wa pande zote mbili na baada ya kufunga ndo Gloria alikuwa na haya ya kusema

“I am proud of myself and I value myself that is why I waited for years to meet someone who also fears God and Joseph is the one, Yes we are both virgins and it is the fear of the Lord that kept me away from being tempted to defile my body before marriage. It’s like you reap what you sow and I am proud that my prayers directed Joseph wh also fears God to meet me and today we tied the know before our families and the church,” 


Hizi ni baadhi ya picha zao siku ya harusi yao













Joseph nae akiwa kama kichwa cha famila hakukosa cha kuongea alikuwa na haya ya kusema 


” above everything, I respect the word of God ad that worked in me to the extent of not being tempted to marry outside my country. I had the opportunity to marry in DC but God gave me a culture to follow, a woman good for me, who speaks my mother’s language and Gloria is the one who, like me, kept herself holy and we are ready for a honey moon,”

Unaambiwa hata Pastor wa kanisani kwao aliwapongeza sana kwa kuchukua uamuzi waliouchukua ingawa ina ugumu wake kutokana na kuwa na msimamo mkali pia kupitia vishawishi vingi sana 


Sijui kama kibongo bongo itakuwaja kutokea maana ni maajabu ingawaje wapo lakin sio kufikia umri kama alionao huyu jamaa ni mkubwa sana, Ukimwi unaua


Source: H-Metro

Post a Comment

 
Top