Beyonce and Jay Z On $70 Million Mansion

Video game programmer kutoka marekani Markus Persson ambaye ameuza nyumba yenye thamani ya dola za kimarekani $ 70 million ambazo ni sawa na shilingi billion 145 za kitanzania, nyumba hiyo ina ukubwa 23,000 zikiwa ni kilomita za mraba kwa Rapper Jay Z pamoja na mkewe Beyonce 

Markus Persson ni tajiri kuliko hata hawa mastaa wawili kutokana kazi yake anayofanya ambapo yeye ni mtengenezaji magemu na huwa anawauzia kampuni ya Microsoft kwa thamani ya dola za kimarekani 2.5 billion. Nyumba hii kama unavyoona ina vyumba vingi ikiwa na sehemu ya kupaki magari pamoja na swimming pool na mengine meng

Beyonce and Jay Z On $70 Million Mansion 

Beyonce and Jay Z On $70 Million Mansion 

Beyonce and Jay Z On $70 Million Mansion 

Beyonce and Jay Z On $70 Million Mansion 

Beyonce and Jay Z On $70 Million Mansion 

Post a Comment

Top