Mjasiriamali Jokate Mwegelo almaarufu kama Kidoti au Jojo amerusha maneno makali kwa aliyewahi kuwa mpenzi wake msanii Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, Jakote alikuwa akichoropoa mimba zake.
Akifanya Interview ndani ya GlobalTV Online inayomilikiwa na Globalpulisher awali ya yote Diamond alitoa madai kuwa amekuwa akiwapa mimba waliowahi kuwa na mahusiano nae lakini warembo hao walikuwa wanazitoa mimba hizo na moja kati yao alikuwa ni Jokate, naye Jokate hajachelewa sana akampa jibu hili Diamond Platnumz
“Diamond atuache, kila siku anatuzungumzia, hana akili timamu, Inadhihirisha kweli hana akili kwa kuwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari na kueleza hayo aliyoyasema,”
Baada ya stori kuwa nyingi ikabidi Penny umwage ubuyu kuwa Diamond awe mkweli na aseme tatizo lake kwani anavyojua yeye hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.
Bado ubuyu unaendelea Jamani
Bado ubuyu unaendelea Jamani
Post a Comment