nay wa mitego na siwema

Mchumba wa msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri na ngoma yake ya Akadumba, Emanuel Elibariki alamaarufu kama 'Nay wa Mitego' ,mpenzi anayejulikana kama Siwema Edson 'Mama Curtis' amepost picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia Account yake ya Instagram, Siwema ambae siku za nyuma alikuwa Gumzo mitandaoni baada ya Video yake akivishwa pete na Pedeshee kuvuja , Nay na Siwema Hivi Karibuni Wamejipatia Mtoto wa kiume ..





nay wa mitego na siwema

Post a Comment

 
Top