Picha hii nafikiri utakuwa umewahi kuiona kwenye moja ya page kubwa sana ngono hapa bongo, Kim Goodman ambaye amevunja rekodi kwa kuwana jicho refu kuliko wote ambapo anaweza kutoa macho yake na kufikisha urefu wa 12 millimeter ambazo ni sawa na 0.47 inch.

Anashikilia rekodi ya kuwa na jicho refu kuliko wote dunian anaishi Chicago, katika mji wa Illinois. picha zake zingine ziko hapa chini 








Post a Comment

 
Top