
Kupitia Akaunti ya Mtangazaji maarufu kutoka East Africa Tv Anna Peter ameripoti kuhusu taarifa za msiba za Msanii maarufu wa kizazi kipya Mez B, Ijapo mpaka sasa hivi hatujajua chanzo cha kifo chake lakini taarifa kamili itakujia hivi punde endelea kuwa nasi kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza Facebook Twitter na Instagram
Post a Comment