nikki-wa-pili-ft-joh-makini-g-nako-nahreel-jux-aika-vanessa-mdee-safari


Hit maker wa single kama Sitaki Kazi na nyinyine nyingine ambaye pia ni msemaje wa kundi la Weusi Nikki wa Pili mapema wiki hii ameachia single ya mpya aliyoipa jina la Safari akiwashirikishwa Joh Makini, G Nako, Navy Kenzo (Aika na Nah Reel), Vanessa Mdee na Jux na ngoma hiyo imepikwa kwa Producer Nah Reel bonyeza kwenye neno download kupakua nyimbo hii hulkshare
                                                               DOWNLOAD



Post a Comment

 
Top