Baada ya Rihanna na Leonardo DiCaprio kutoa ya moyoni mapema mwezi huu kuhusu ukaribu wao na mahaba yaliyopo baina yao, taarifa mpya zinasema kuwa Staa huyo mahusiona na mcheza filamu Richie Akiva.
Rihanna pamoja na Akvia, walikutana kwa mara ya kwanza ndani ya St. Barth’s over iliyopo ikiwa ni siku ya mwaka mpya ndipo toka hapo wawili hao wakaanzisha urafiki hadi kufikia hatua ya kuwa wapenzi.
Akiva ambaye ni mmliki wa night club kubwa ndani ya jiji la New York na pia ni rafiki mkubwa wa Leonardo anayesemekana kuwa ni mpenzi wa Riri bila ya kumsahau Rapper Jay Z
Kila la Kheri kwako Riri utulie sasa.
Related Posts
- Alikiba Apost Picha Kuonyesha Ukubwa wa Mimba ya Wema Sepetu.27 Jan 20160
Wema Sepetu Week Mbili Hizi Amekuwa kwenye Headlines sana ikisemakana kuwa Anaujauzito wa Msh...Read more »
- Baada ya Shamsa Ford Kuachana na Nay Huyu Ndie Aliyeziba Pengo.21 Nov 20150
Staa Nay Wa Mitego Baada ya Kuacha na aliyekuwa Mpenzi wake Shamsa Ford najua utakuwa mfuatilia...Read more »
- Uhusiano wa Kimapenzi Kati ya Idris Sultan na Samanthan Umevunjika.21 Nov 20150
Big Brother Africa Hotshots winner Idris Sultan ambaye kwa sasa yuko Mbioni kuanza Show yake mp...Read more »
- Jokate Anasa Ujazito wa Alikiba.07 Nov 20150
Staa Jokate Mwagelo ambaye kwa sasa yuko Mapenzini na Staa wa Muziki wa Kizazi Kipya Ali Kiba...Read more »
- Picha za Wema Sepetu Afunga Ndoa na Luis Munana wa Namibia.29 Oct 20150
Wema Sepetu amefunga ndoa kwa mara ya pili mwaka huu – kwenye movie bila shaka! Baada ya miezi ...Read more »
- Video ya Shilole Ana Mimba ya Nuh Mziwanda.26 Oct 20150
Tetesi za Hapa na pale ni baada ya kusika kuwa Msanii Shilole ana Ujazito wa Mpenzi wake Nuh Mz...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.