Ok ile list ya Police wazuri kuliko wote inaendelea na baada ya Kenya Nakuletea hii kutoka Kule Zimbambwe.
Moja kati ya polisi wazuri ambao wanashikilia nafasi za juu zaidi kwa uzuri ni huyu ambaye jina lake bado halifahamika ambayo ana umri wa takribani miaka 22 tu na kuanza kazi hivi majuzi amekuwa gumzo kwenye mitandao mingi ya Zimbabwe zikiwemo blogs kubwa kama iHarare hizi hapa chini ni picha zake zaidi.
List ingine iakuja hapa hapa bado Nigeria Endelea kuwa nasi
Post a Comment
Post a Comment