Gazeti la The Daily Mail limeripoti kuhusu vilabu 50 vya soka nchini England, likiwa limeangalia vigezo 6 ili timu moja iweze kuingia kwenye list hiyo na ni kama ifuatavyo.
  • Moja kati ya Vigezo hivyo ni pamoja na takwimu ya idadi ya mashabiki wanaoingia kwa juma kwenye viwanja vya timu hizo,
  •  Namna gani vilabu hivyo vimekusanya mashabiki duniani kote  
  • Idadi ya mataji kwa maana ya vikombe vilivyotwaliwa na klabu husika.
  • Wastani wa nafasi katika msimamo wa ligi
  • Thamani ya wachezaji waliopo kwenye vilabu hivyo
  • Pia Idadi ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na Twitter 

Ikafanikiwa kupata list huu hapa chin kinara ikawa Man United na wa Mwisho akawa Bury





29 Mar 2015

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top