Mpenzi wa Msanii Diamond Platnumz amepata makavu live baada ya mtindo wake wa kuachia picha za zamani maarufu kama TBT ambapo wengine wanendelea mbali zaidi na kuai kuwa katoa mimba Blog ya Mange Kimambo ina taarifa na stori kamili ya habari hii
Jamani najua mshachoka habari za Zari na Diamond ila sasa leo ni slow Monday sina habari. Sasa kuliko kuto update blog si bora hata nimweke Zari jamani….Msinune….lol..
Haya watanzania wametahamaki huko instagram wakimdai Zari mimba ya ndugu yao Diamond….hahaha,kila picha akiweka ni kuulizwa mbona mimba haiko,mara haionekani…Yani ilimradi purukushani….
Na Zari nae sometimes anapanick anaanza kutukanana nao…hahhaha…
Tatizo wabongo wamezoea kuwa mwanamke akitangaza mimba basi inakuwa imeshapita mienzi minne. Yani angalau first trimester imekwisha. Hawakujua hawa wenzao walitangaza mimba ikiwa na wiki 2 labda ndo maana miezi inaenda tumbo bado halionekani…..
Jamani wapeni muda,sasa mnampa pressuere dada wa watu awaonyeshe mimba mpaka jana kawapigia picha ya kavaa swim suit akawatunishia kitumbo….hahahahhahahaha……..Yani wamemwandama kuwa hana mimba ,wengine wamesema anavaa zile suit za mimba mpaka mama wa watu ikabidi apige hii picha kavaa smim suit akatunisha tumbo waone lipo…hahahahhahaha
Atajutraaaaa kuwajua wabongo…Wabongo usitangaze mimba mpaka iwe inaonekana tayari la sivyo unatafuta headache tu…
Hahahhaah, embu soma comment ya Zari ,hahahhaa kumbe anajua na kuchamba kwa kiswahili…hahahahhahaha.Chezea wabongo wewe lazma wakupanikishe….. hahhhahaha
Jamani mvumilieni miezi mingine miwili tumbo litaonekana vizuri, after 2 months kama bado halijatokezea hata mie dada enu ntawasaidia kumdai mimba etu…. hahahahahhahahahha,uwiiii, im just playing jamani…..
Ila jamani, seriously, embu mwacheni huyu dada jamani aenjoy mimba yake maana anavyohangaika kwenye picha, yani unaona kabisa hajiamini, mara ageuke apige picha za nyuma tu ili watu wasiulizie mimba, mara apige picha za kiuno na tako ili watu waongelee tako wasahau mimba,yani tafrani tupu….
Ila sisi wanawake tukipenda mwanaume jamani, sijui tunakuwaje, yani tunakuwa mafala flani. Hivi what happened to this woman jamani???
I swear, zamani nilikuwaga namuona huyu dada bonge moja la boss lady na maofisi yake na ma lamborgini yake . Hivi what happened to haya maofisi yake?? maana siku hivi hana shughuli mjini zaidi ya kuonyesha picha za kushikwa shikwa na Diamond, mimba ya Diamond, anavyoswim au kudrive gari kamaliza.
What about the business side? yale mapicha yake ya kutafuta hela, maofisi ya maana nini na nini. Yani siku hizi akiweka picha ya biashara insta ni kwenye duka lake tena inabidi apige picha kijiupande tu cha duka maana naskia ilibidi ahame from the big store akafungue duka dogo.
na hata hizo picha za hilo duka lake ni once a month ndo ataweka. Yani yeye now hataki hata kupromote biashara zake anymore huko instagram zaidi ya kupromote mimba yake au picha za mapenzi…. Imagine now ndo ana followers kibao hatangazi biashara hata moja,ni kutangaza mapenzi tuuuu….
Dah, kuna waliokuwa waliokuwa wanakuwa inspired sana na huyu mwanamke enzi zake za uboss lady nowadays kabakia bosslady wa jina tu….hahaa
Jamani tulilalamika na “bring back our Wema “mpaka tukarudishiwa Wema wetu mnaonaje Waganda nao wakasimama kidete na “BRING BACK OUR BOSSLADY”. HAHAHHAHHA…Ila kuna kitu about Diamond jamani, mwanamke akiwa nae anapoteza mwelekeo kabisa wa maisha anakuwa hana dreams anymore wala hana ambitions anakuwa anawaza mapenzi tuuuu na kujionyesha kuwa yeye ni mwanamke wa Diamond. Bila kujua kwamba chances are huyo Diamond alichompendea mwanzoni mpaka akakutongoza ni sababu ulikuwa una maisha yako, pesa zako, una work hard etc.Alafu sasa ukimpata unaacha kuhustle Job Title yako inatoka from Bosslady to Mrs.Diamond. Hahahahahha…. Ladiet never ever lose focus ya maisha yako sababu ya mwanaume. Kama wewe ni hustler endelea kuwa hustler hata ukimpata Bill Gates, sisemi kwamba pesa unayopata eti ndo umsaidie kulipa bills hapana (Ladies, always remember this statement ” my money is my money, his money is our money)ila tengeneza pesa yako weka savings zako siku kikinuka uko powaaaaaaa, tena hakutesi akikuletea vya kuleta unaanza mdogo mdogo coz una means zako za kukuletea pesa zako.
Banange waganda wako wapi? lieni jamani “BRING BACK OUR ZARI” HAHAHAHHAHAHAHHAHAHA. Sie tulishampata mtu wetu bado nyie….hahahaha…. Maana Zari anapoelekea soon hata pesa ya saloon itakuwa shydeerrr….Kweli tena, wewe angalia hata nguo zake anazovaa siku hizi ni zile za Mr. Price. Na S.A kulivyo na maduka ya maana sasa…..
MWEEEH NTACHAMBWAJE SASA?????HAHAHAHHA
NAINGIA KULALA…GNITE.
Credi Mange Blog
Post a Comment