Diamond Platnumz na Wema



Hit Maker wa Single wa Nasema nawe Diamond Platnumz mapema hivi karibuni kupitia kipindi cha cha Ng’ari Ng’ari cha kinachorushwa na Clouds Tv kwa mara ya kwanza amezungumzia kauli ya Wema Sepetu ya kushindwa kupata mtoto.

Diamond alifunguka kama ifuatavyo 

"Ujumbe wa Wema umeniumiza kama ulivyoumiza wengine, Diamond alisema anajua Wema ameshambuliwa na wengi juu ya swala hilo na amemsifu kwa kusema ukweli"


Kama ulimis Wema Sepetu kuitia Akaunti yake ya Instagram alikiri kuwa hawa uwezo kushika ujauzito kabisa.

Kwa sasa hali inaonekana shwari baina ya Diamond na Wema kila la kheri kwenu....

Post a Comment

 
Top