Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na mwenyekiti wa hesabu za serikali (PAC), mheshimiwa Zubeir Zitto Kabwe amefanya kitendo cha kiungwana kwa baada ya kutangaza rasmi mali anazomiliki ikiwa ni moja kati ya sheria na sehemu ya utii ya katiba ya chama Alliance For Change and Transparency (ACP)-Wazalendo.

zitto kabwe


Mh Zitto Kabwe amekuwa mbunge akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa Miaka 10 akiwa ndani ya chama cha Chadema lakini mwezi uliyopita alivuliwa uanachama na ndipo alipohamia rasmi chama cha ACT na katika kutimiza sheria za chama ameweka rasmi mali anazomiliki ambazo zinajumla ya thamani ya Milioni 690 za kitanzania baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho nimekuletea hizi ndizo taarifa zake 



mali anazomiliki zitto kabwe 

mali anazomiliki zitto kabwe


mali anazomiliki zitto kabwe

mali anazomiliki zitto kabwe 

mali anazomiliki zitto kabwe


Duuh hiyo Jumba la Million 180 ni hekalu au hotel?ila Mh Zitto Umetisha kwa ulicho kifanya Long Live.....

Post a Comment

 
Top