cristiano ronaldo

Mwaka 2009 mchezaji Cristiano Ronaldo aliaga Rasmi timu yake ya Manchester united na kuamisha makazi yake ndani ya timu ya mpira ya Real Madrid mwezi September mwaka jana lakini hajawahi kufika rekodi aliyofikisha leo kwenye mechi kati ya real madrid vs granada ambapo Real Madrid imachapa Granada kwa mabao 9-1. Kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya kablu Real Madrid Cristiano Ronaldo amefunga mabao matano kwenye mechi moja ya dakika 90.

Hongera kwako Cristiano Ronaldooooo

Post a Comment

 
Top