Siku ya jana kwa Upande wa kenya ilikuwa mbaya kutoka na kundi la Al shabab lenye makazi yake nchini Somalia kuivamia Kenya katika chuo cha Garissa na kuawa watu zaidi 147 ambao wote ni wakiwa ni wakristo



Watekaji hao walipofika chuoni hapo walipiga risasi kadhaa na kufanya watu waanze kukimbia huku na kule kwa ajili ya kunusuru roho zao na walipofika katika nyumba za kulala za wanafunzi wa chuo hicho na kutenganisha wanafunzi hao katika makundi mawili kutokana na dini zao wakiwa wakristo na waislamu na kuwaachia wanafunzi 15 na kubaki na wengine ambao bado mpaka sasa hawajajulikana wako wangapi lakini mapema asubuhii kenya kupitia mtandao wa twitter imeyuma taarifa na kuandika hivi 

Serikali ya Kenya imetuma ujumbe katika mtandao wake wa Twitter ikisema kuwa Watu 500 wameokolewa huku 70 wakiuawa wakiwemo wapiganaji 4 wa kundi la Alshabaab ‪#‎OneKenya‬ voa CS @InteriorKE"





Waziri wa maswala ya ndani nchini Kenya Joseph Nkaiserry amethibitisha kuwa watu 15 wameuawa huku wengine 53 wakijeruhiwa kufuatia shambulizi la alfajiri katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya.miongoni mwa waliokfariki ni walinzi wawili wa mlango wa chuo hicho.Akizungumza kutoka Garissa Nkaiserry amesema kuwa oparesheni ya kuwasaka wahalifu hao itaendelea hadi mateka wote waokolewe.

Hizi ni baadhi ya Video kutoka Kenya 




Post a Comment

 
Top