Ndugu wawili walio wahi kuiperesha Tanzania kwenye Anga la sana kupitia Mziki na Urembo Nakaya Sumari na Nancy Sumari aliyewahi kukwa Taji la Miss Tanzania kwa sasa hawapo kwenye maelewano kutona na ugomvi uliyo baina yao unaosababisha mfarakano kati yao na kufikia kuamuliwa kwenye mitandao ya Kijamii.
Kwa Mujibu wa chanzo cha habari hizi zinadai kuwa chanzo cha Ugomvi huo ni Nakaya kumkose Nancy ambapo miaka wa Nyuma waliwahi kusuhisha lakin kwa sasa Ugomvi umerudi Upya kufikia mpaka hatua kuongelewa kwenye mitandao ya kijamii ili kuwapatanisha ndugu hawa.
Nitaendelea kukupa habari zote punde zinikiapo
Post a Comment